2014-12-12

SHOCKING:AJALI YAUA WATATU BUNJU B, DAR


Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda. 


Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo.…

GPL

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...