2014-12-19

Apewa onyo zito; Mkurugenzi wa Ilala akiri onyo alilopewa ni sahihi

Baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri za wilaya waliosimamishwa kazi.
 na wengine kupewa onyo kwa tuhuma za kutosimamia vyema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,
 
 wameunga mkono hatua hiyo, huku mkurugenzi wa Ilala, Isaya Mngurumi akisema onyo alilopewa lilikuwa sahihi kutokana na udhaifu uliojitokeza

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...