2014-12-19

KILA CHENYE MWANZO KINA MWISHO; HATIMAYE MWILI WA ASIHA MADINDA WAFANYIWA UCHUNGUZI KUZIKWA LEO MCHANA


HUU NDIO UKWELI WA ASILIMIA 90 KUHUSU KIFO CHA AISHA MADINDA …aliondoka nyumbani jana na hakurudi tena, madawa ya kulevya yahusishwa
Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Baada ya danadana nyingi, 
hatimaye mwili wa mnenguaji Aisha Madinda unafanyiwa 
upasuaji muda huu katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam. 
Akizungumza na mtandao Saluti5, mkurugenzi wa Aset Asha Baraka amebainisha kuwa upasuaji umeanza dakika 10 zilizopita na ni zoezi linalotarajiwa kuchukua masaa mawili. Asha Baraka amesema baada ya zoezi hilo, watauosha mwili wa marehemu.
 katika msikiti ulioko hapo Muhimbili ikiwa ni pamoja na uvishaji wa sanda kabla ya kuelekea nyumbani kwao Kigamboni. Mazishi ya Aisha Madinda yatafanyika Kigamboni makaburi ya Kibada leo mchana muda wowote baada ya sala ya Ijumaa kutegemea na…

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...