2014-12-11

IDRIS SULTAN: Nitawekeza Katika Filamu Za Tanzania Sehemu Ya Pesa Nilizoshinda BBA


Idris Sultan Mshindi wa Big Brother Africa HotShot 2014 toka Tanzania Idris Sultan amesema kuwa sehemu ya pesa zake alizoshinda atawekeza katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa kuwa anapenda kuwekeza katika sanaa hiyo inayokuwa nchini.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...