Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Said Issa Mohamed na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdallah Safari. (Picha na Francis Dande)

Katibu Mkuu wa Bawacha, Grace Tendega akizungumza wakati wa Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chadema.

Wajumbe wa Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chadema wakiwa katika mkutan
Katibu Mkuu wa Bawacha, Grace Tendega akizungumza wakati wa Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chadema.
0 comments:
Post a Comment