2014-12-17

NI BALAA:CHUCHU HANS ACHARUKA MADAI YA USALITI



 
 
KIMENUKA! Msanii wa filamu, Chuchu Hans ambaye ni mpenzi wa wa nguli wa filamu Bongo, Vicent Kigosi ‘Ray’, amecharuka ishu ya kumsaliti mpenzi wake huyo na jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
                                     
 Msanii wa filamu, Chuchu Hans. Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
 Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na… 
                          
GPL

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...