Anatokea Tanga kule mapenzi yalikozaliwa, hivyo usishangae kama Hamis Mwinjuma aka Mwana FA akamchora msichana hina na akapendeza!.
Hata hivyo hiyo ni kazi aliyoifanya mara moja tu tena kwenye moja ya scene ya video ya ‘Kiboko Yangu’ anayoshoot na Ali Kiba aliyemshirikisha kwenye wimbo huo, jijini Nairobi.
Binamu aka The Choir Master, amepost picha Instagram
0 comments:
Post a Comment