Profesa Jay
Mkongwe wa muziki wa Hiphop, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, mwakani anatarajia kugombea Ubunge jimbo la Mikumi Mkoani Morogoro kupitia chama cha CHADEMA.
Hakika Mambo yamepamba moto kwasababu tunaamini mwanamziki huyu atatoa ushindani mkubwa sana

katika uchaguzi huo !!!!!! mwanamziki
huyu ni kati watu wenye heshima kubwa sana hapa Tanzania
kutokana na kutunga nyimbo zenye ujumbe mzito wa kuelimisha, kwahiyo inawezekana njia yake ya kwenda bungeni ikawa rahisi sana kama atajipanga vizuri kupambana na washindani wake wa kisiasa maana tayari anakubalika kwa vijana pamoja na watu wazima.

0 comments:
Post a Comment