2014-12-29

Ni kama ndoto: Nassari atambia mafanikio yake


 
 
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema) amesema atapita tena katika jimbo hilo mchana kweupe, kwani amefanya mambo mengi, ikiwemo kuhakikisha usafi wa Soko la Tengeru, hivyo wafanyabiashara kufanya biashara sehemu safi na salama.
 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...