
SIKU chache baada ya kupatikana kwa mshindi wa Shindano la Miss World 2014, imethibitika kuwa Wabongo walimfuta machozi mshiriki wao, Happiness Watimanywa kwa kumpigia kura nyingi zilizosababisha kuingia hatua ya Kumi Bora ya Chaguo la Watu (People’s Choice).
Happiness Watimanywa akiwa na mrembo wa dunia Rolene Strauss wa Afrika Kusini.
Kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili usiku huko London nchini Uingereza, ambalo Rolene Strauss wa Afrika Kusini aliibuka kidedea, watu…
GPL
0 comments:
Post a Comment