2014-12-24

Ray C Afunguka; Alikiba akipata support ya Diamond anaweza kufika mbali


1
Ray C ambaye siku chache zilizopita ameachia wimbo mpya baada ya kimya cha muda mrefu, ameweka wazi kile anachotamani kukiona baina ya wasanii wawili wenye mashabiki wengi Tanzania, Alikiba na Diamond. 
“Wenzetu wasanii wa Nigeria wanashirikiana kwa kila hali na ndio maana wanafika mbali,” alisema Ray C kupitia Clouds TV. “ Wasanii wa Tanzania hatuna […

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...