2014-12-09

Slaa akosoa uteuzi wakuu wa mkoa

DKSLAA1
        Dk Willbrod Slaa akikosoa uteuzi wakuu wa mikoa
                  
Mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyotangazwa juzi na Rais
 Jakaya Kikwete yametajwa kuwa na malengo ya kisiasa, huku Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa akikosoa kitendo cha kuhamishwa vituo vya kazi wakuu hao sita ndani ya mwezi mmoja, kwamba ni gharama kwa Serikali. 
                       
 
Mwananchi

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...