Msanii wa filamu za Kibongo Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’. Akimwaga ‘ubuyu’ na Uwazi, Aunty alisema kuwa haoni kama amebadilika kitabia au kuwa msumbufu bali anajiona yupo kawaida ingawa mara nyingine anakuwa anachoka sana.
“Mimba wala haijanibadili maisha kwa maana sipo kama wanawake wengine wanavyokuwa wasumbufu, naamini kuwa nitaendelea kuwa hivi hadi mwisho nitakapojifungua,” alisema Aunty.
0 comments:
Post a Comment