2015-02-16

Vituko vya Valentine Day: Wafunga Ndoa Ndani ya Jeneza Siku ya Wapendanao, bofya kuona picha hapa.......

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand. 


Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.



 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...