2015-03-12

Aunty Ezekiel ajifungua Jana Usiku............bofya hapa kwa kumpa pongezi

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii wa Bongo Movie anaejulikana kwa jina la Aunty Ezekiel ameweza kuweka kipande kifupi cha video akiwa hosp baada ya kutoka kujifungua na mtoto akionekana kwa mbali, bado hatujajua ni mtoto wa kiume au wa kike. 

Tazama video hiyo hapo chini! Kama kifaa chako hakisomi player hii==>>BONYEZA HAPA!

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...