2015-03-12

WEMA SASA COOL DOWN, KILA AKIACHANA NA DIMOND YANAIBUKA HAYA!!! MWANZO MAREHEMU KANUMBA SASA CHALZ BABA


enzi hizo wema na chaz baba mahaba niue!!
 
Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa dansi ndiye mwanaume wa pekee ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana Wema ameiambia U Heard ya Clouds FM Jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshkaji wake na hata alipooa alimchangia pesa.

wakati penzi la wema episode 1 akijivinjari na diamond kabla jokate hajachukua nafasi!!

Chaz Baba alikuwa ni msikaji wangu naweza kusema ndio boyfriend pekee asiye na mambo ya Kiswahili, amesema. Tulizinguana tukafika pointi tukasaidiana, ameoa nikamtolea mchango, nimeenda kwenye harusi yake sioni tatizo.

 Mimi na Chaz Baba tulikuwa tunapendana na baada ya kufikia point ya kuachana tukaachana, tukawa hatuongei for sometime mwisho wa siku baada ya kila mmoja kukaa kwake tukawa tunazungumza. 
Sio kama watu wengine tukigombanaga tunatafuta mabifu, hatusemeshani, ameongeza mrembo huyo aliyesisitiza kuwa sina bwana.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...