2015-03-06

GHANA: KONDOMU ZATUMIKA KAMA FASHION ZA NYWELE.........angalia picha zaidi hapa


Kila kukicha kumekuwa na mambo mapya katika jamii inayotuzunguka na kutokana na utandawazi umetufanya tuone na kujua kila kinachoendelea katika ulimwenguni huu wa sayansi na teknolojia. 

Kwa sasa kumekuwa na mitindo mbalimbali ya fashion kama kwenye nguo, makeup, viatu na kubwa zaidi kuhusu hii style mpya hapa mjini ya kila mtu kuweka dread kwa namna yake, sasa mama moja wa makamo na ni raia wa Ghana alitoa mpya baada ya nywele zake kuzivesha kondomu kwa kuzifunga... 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...