2015-03-07

SHILOLE, NUH MZIWANDA WATINGA GLOBAL TV ONLINE JANA

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda (kulia) akiwa na mpenzi wake, Zuwena Mohamed 'Shilole' katika studio za Global TV Online. 


Host wa kipindi cha Me & You with Love, Melkiadi Oreje (katikati) akifanya mahojiano na wanamuziki hao wapenzi. 



Mtangazaji wa Global TV Online, Shorvien Mohamed (kushoto) akiwa katika pozi wasanii hao. 


Nuh Mziwanda (kulia) akiwa na mpenzi wake, Shilole wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa mahojiano na Mtangazaji wa kipindi hicho, Melkiadi Oreje.
GPL

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...