2015-03-12

Tambua Vitu Mwanaume Anavyokupima ili Akujue Unafaa Kuolewa Au Ni Hit And Run ! 1.

Ya bustani ya ng0no kuwa famous sasa
Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa. 2.
 
 Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujagamara moja kwa wiki aje afanye usafi alipwe usidhani eti anajali kihivyo. Anakutest aone kama utasema "Achababy, ntakufulia mpenzi wangu". 3.
 
 Ukikuta kwake amefanya shoppingya vyakula vya kupika kama unga, mchele, na vingine halafu akakwambia mwende ule mgahawa fulani mkapate dinner usidhani eti ana hela kibao ya kutumia! Anakutestaone kama utamwambia mbaki kwake mpike mle.
 
 Uko chumba cha mtihani! 4. Siku kakuahidi kukutoa out halafu unafika kwake unakuta kajikunyata kama mgonjwa anakwambia mama ake kapiga simu anaumwa anaomba atumiwe hela. Halafu anakwambia hela aliyo nayo na ukipiga mahesabu unaona ni kama ile ya kutumia mkiwaout. Anakuomba ushauri afanyaje. Wewe unamwambia "Baby twende out, suala la mama nina uhakika kakazako na dada zako watalishughulikia,atawapigia". 
 
Woiyeeee! My sista hapo umejimaliza!! 5. Ukimtembelea kwake ukakuta anapika na kufanya usafi wewe Umekaa tu unaangalia muvi halafu ukitaka umsaidie anakwambia endelea kuangalia muvi karibu anamaliza na wewe kweli ukarudi ukakaa kuendelea na muvi yako! Sikuzako zinahesabika!! 6. 
 
Ulishawahi kumwambia mpenzi wako aende kwenye ibada? Alipokataa ulimsisitizia? My sister, hata walevi wanapenda wanawake ambao wanawasisitiza kwenda kwenye ibada. 
Sio tule wale kila siku wanashinda baa na club. 7. Mara ngapi huwa unamkumbusha kuwapigia simu wazazi au ndugu zake 
 
 
kuwajulia hali mkiwa wote? Angalao akupe na simu na wewe uwasalimie? Huo ni mtihani mwingine huwa mnafeli sana. 8. Jifunze pia kusisitiza kujitunza kabla ya ndoa. Sio kila saa ukimtembelea ni kujiachia tu. Inaleta adabu na inawafanya mkazanie kufikia lengo kubwa la maisha. 9. Jaribu ukiwa unaenda kwake uwe unaenda na tuvitu kama nyanya, 
 
vitunguu, n.k. Hivyo vyote huwa wanaume ni shida kununua mara nyingi. 10. Wakati mwingine nenda kwake hata na CD za dini mpelekee msikilize. Sio kila ukifika kwake weweni rege, Eminem, Lil Wayne na kina nani sijui. Ukiwa hivyo hataona tofauti kati yako na wale macho juu anakutana nao club kila wikiendi. 11. Jenga na tabia ya 
 
kumnunulia tuzawadi tudogo tudogo. Sometimesunakuja na boksa au kavesti au kadodoranti. Hiyo kwa wanaume inaonyesha unaweza kujipa majukumu na kuyasimamia. Marks hizo. Ila Angalizo---Unaweza fanya yote hayo na ukaachwa solembaaa

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...