2015-03-10

Wolper: Mama Ndio Rafiki wa Kweli!............nyakati za raha na shida



Mrembo na Staa wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper amebandika andiko hili kwenye ukurasa wake wa mtandaoni. 

“Mama rafiki wakweli, ukitendwa na mwanaume/mwanamke kimbilio kwa mama tuwapende nakuwalinda napia kwa wenzetu ambao mama zao wameshatangulia mbele za haki tuwaombee, mama yoyote ni mama tuwapende”.

/span>
Ujumbe mzuri sana huu,tuwapende wakinamama wote.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...