2014-11-09

MGANDA AMGANDA DIAMOND BAADA YA WEMA KUMPIGA KIBUTI????!!!!!! FUKUFUKU FUKUA



Story ilianza juzi mwanadada Zari alipopost picha wakiwa kwenye ndege yeye na Diamond, sasa leo zimepatikana picha zingine wote wakiwakwenye pose tofauti tofauti kama wapendanao wa siku nyingi, haijafahamika ni nini kinaendelea maana hakuna kati yao aliyesema chochote, pengine wako location, ama ni video maana wote ni wazamziki. 
Time will tell, Zari anaaminika kuwa ndie msanii wa kike tajiri zaidi Africa mashariki, ni mfanyabiashara na mwanamziki.







0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...