2014-12-10

AMANDA ANASWA NA KIJEBA CHA KIZUNGU


                                  aman da
Stori: Gladness Mallya MSANII nyota wa filamu Tanzania, Tamrina Poshi maarufu kama Amanda, amenaswa katika picha akiwa na mzungu anayeonekana kumzidi umri ambaye unaweza kumwita kijeba aliyemtambulisha kama rafiki yake. 
 
Msanii nyota wa filamu Tanzania, Tamrina Poshi maarufu kama Amanda akiwa na mzungu. Habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema, picha hizo ziliibwa katika simu ya msanii huyo na mtu asiyefahamika, ambaye kwa lengo lisiloeleweka, alianza kuzitawanya kwa watu… 
 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...