2014-12-10

MAJI MACHAFU YAMLAZA PENDO KITANDANI

                       mwana dada pendo
Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu na muziki wa taarabu Bongo, Upendo Mushi ‘Pendo’ yu kitandani baada ya kuugua ghafla kwa kile ambacho madaktari waligundua ni kunywa maji yasiyochemshwa. 
&nbsp
Msanii wa filamu na muziki wa taarabu Bongo, Upendo Mushi ‘Pendo. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, msanii huyo anayeishi Mwananyamala jijni Dar es Salaam, baada ya kupimwa na kukutwa na ugonjwa huo, alipatiwa matibabu na kurejea nyumbani ambako bado hali yake haijakaa… 
 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...