2014-12-12

MALARIA,TYPHOD YAMLAZA KALA JEREMIAH HOSPITALI

 ka
                                 kala jeremaya
 
Rapa wa ngom
a ya ‘’Usikate Tamaa’,Kala Jeremiah hivi karibuni alilazwa katika hospitali ya Arafa iliyopo maeneo ya
 Airport baada ya kuugua magonjwa ya malaria na typhod.
 
‘’Yaah nilikuwa naumwa malaria na Typhod na nilikuwa naenda katika hospitali ya Arafa nilikuwa nikipatiwa matibabu na kupumzishwa lakini kwa sasa hivi naendelea vizuri’’ alisema Kala.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...