FAMILIA za Bobby Brown na marehemu Whitney Houston zimekubaliana kumwondolea Bobbi Kristina mashine inayomsaidia kupumua leo, Jumatano ili afe tarehe sawa na ile ambayo mama yake mzazi, Whitney Houston alifariki.
Mjukuu wa Bobbi, Cissy Houston alitoa wazo hilo la Februari 11 wakati wa majadiliano yaliyofanyika wikiendi iliyopita kati ya familia ya Whitney Houston na Bobby Brown kwenye Hospitali ya Chuo Kikuu cha Emory huko Atlanta nchini Marekani.
 
0 comments:
Post a Comment