
Mwigizaji anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu Zuber Mohamed ‘Niva’ ametoa ya mwaka baada ya kusema kuwa upigaji wa picha na wanawake una maana kubwa kwake tofauti na mastaa wengine ambao hawana fomula ujipigia picha tu.
“Kaka ukiona nipiga picha na Demu halafu yupo kulia ujue huyu siyo mwenzangu na sijapiga ni just Friend tu, hila mpenzi wangu lazima nikipiga picha nitamweka mkono wangu wa kushoto na si kulia, elimuhiyo,”anasema Niva.

Niva anaonekana katika picha mbalimbali akiwa amepiga picha na nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood akiwa amewaweka mkono wake wa kuume, nyota hao kama vile Wema Isack Sepetu, Kajaala Masnja na wengineo hiyo ndio staili ya kijana Niva aka Marioo
0 comments:
Post a Comment