Skip to content
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameshinda kesi ya jinai ya kuingilia eneo la ardhi ya Agritanza Ltd, japo amerudishwa Segerea kwa kuwa bado ana kesi nyingine inayomkabili.
Hukumu ya kesi hiyo imetolewa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Augustine Shangwa huku Sheikh Ponda akitetewa na Wakili wake Juma Nassoro.
Sheikh Ponda bado anakabiliwa na kesi ya uchochezi ya mkoani Morogoro hivyo alirudishwa Segerea mbali na kushinda kesi hiyo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.