2015-01-31

MWANAMKE APASULIWA TUMBO NA MPENZIWE


mwili wa mwanamke huyo ukiwa umejeruhiwa vibaya

mwanaume kahisi anaibiwa kamwita mdada gest kafanya mambo kisha kammaliza. tukio hili limetokea jana .
Jamani tuombeane dunia imebadilika sana
Mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi

...kwa taarifa zaidi endelea kuwa nasi hapa tutakujaza zaidi punde tu.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...