Yaya Toure
Kiungo wa timu ya Manchester City Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza
kutajwa na shirikisho la soka barani Afrika kuwa mchezaji bora wa mwaka
kwa mwaka wanne mfululizo.
Toure ana umri wa miaka 31, aliteuliwa baada ya kucheza kwa kujitoa na
kuleta ushindi katika Premier League na League Cup, na pia alijitoa
kuisaidia Ivory Coast kuingia katika kombe la mataifa ya Africa yatakayo
fanyika baadaye mwaka huu.
Toure amewapiku mshambuliaji kutoka Gabon, Pierre Emerick Aubameyang na
golikipa mnigeria Vicent Enyeama.Toure pia alikwaa tuzo ya FIfa ya
Ballon D'Or mwezi wa kumi mwaka wa jana..
Swali: Ni mwanasoka nani aliyejinyakulia ushindi mara nne barani afrika.
A. Diamond Plutnumz
B. Yaya Toure
C. Uhuru kenyata
0 comments:
Post a Comment