UGANDA, Bodaboda ni sanaa 08:42 Unknown No comments Katika barabara za jijini Kampala -mji mkuu wa Uganda-siku hizi kuna vitu ambavyo vimepambwa ambavyo si vya kawaida. Kuna picha kubwa za michoro ya sanaa ikiwa juu ya pikipiki -maarufu kama Bodaboda. Hii ni sehemu ya tamasha la sanaa la kisasa la michoro. Shabaha ya maonyesho haya ni kufichua maisha na sauti ambazo hazijawahi kusikika. kuona video ya bodaboda-bofya hapa Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment