2014-12-17

Ina huzunisha msiba wa mama mzazi wa wapiganaji Dotto na Kulwa Mwaibale

Ankal akiwa na wapiganaji Dotto (shoto) na Kulwa Mwaibale wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu mama yao Mzazi hospitali ya Temeke jana. Habari zinasema wafiwa na mwili wa marehemu wamefika salama Mwankenja wilayani Rungwe mkoani Mbeya ambako mazishi yanatarajiwa kufanyika leo
Wafiwa Dotto na Kulwa Mwaibale wakifarijiwa na wapiganaji wenzao kutoka kushoto Richard Mwaikenda, Eric Shigongo, Ankal, Benny Kisaka na Abdallah Mrisho
waombolezaji msibani huko Mwankenja, Mbeya Kaburi likiandaliwaWapiganaji Dotto na Kulwa wakiwa na wapiganaji wa Mbeya Yetu msibani Mbeya
Michuzi

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...