Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliokuwa wanatumia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda,
wamemuua kwa kumpiga risasi dada mmoja ambaye jina lake halijafahamika maeneo ya Kinondoni, Morocco jijini Dar es Salaam baada ya majambazi hayo kuiba katika duka la M-pesa, wakati wanaondoka walikuwa wanarusha risasi ovyo na kumpata dada huyu aliyekuwa akipita njia.
0 comments:
Post a Comment