HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwanamuziki mkongwe nchini na nje ya nchi, Shem Karenga, umezikwa jana katika makaburi ya Kisutu, jijini Dar e Salaam.
Karenga aliwahi kutamba na nyimbo nyingi ukiwemo ya Dada Asha, ambao ulivuma sana Afrika Mashariki na Kati.Mazishi hayo yalihudhuriwa na mamia ya watu wakiwemo wanamuziki.Kujua mengi tembelea
0 comments:
Post a Comment