NI KITIMTIM:WAZIRI HAWA GHASIA AWATIMUA WAKURUGENZI 13:54 Unknown SIASA No comments Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (pichani) leo amewavua madaraka wakurugenzi wa Kasulu, Bunda, Serengeti, Mkuranga, Sengerema, Kaliua kwa uzembe wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. GPL Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment