Watu wawili wamenusurika kifo baada ya dereva wa bodaboda kumgonga mtu mmoja aliyekua akivuka katika barabara ya kawawa kinondoni na kisha dereva wa boda boda kukimbia kusiko julikana huku abira wake pamoja na mvuka barabara huyo wakiwa katika hali mbaya.
Tahadhari juu ya uendeshaji salama vyombo vya moto bara barani umeendelea kupigiwa kelele kila uchao haswa katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka lakini bado inaonekana kama hadithi za sungura na fisi
0 comments:
Post a Comment