2014-12-19

TUBADILIKE JAMAN;MASTAA WENGI TUTAKUFA NA NGOMA

WASANII wengi wa kike wamekuwa na tabia ya kuibiana mabwana jambo ambalo wenyewe wamekiri kwamba wako kwenye hatari ya kupukutika kama kuku kwa ugonjwa hatari wa Ukimwi.
 
Wakizungumza na Ijumaa hivi karibuni, baadhi ya mastaa wenye majina makubwa Bongo walifungukia kamchezo hako ka kushea mabwana na wakati mwingine hufanya tendo hilo pasipo kutumia kinga. 

Tujiunge na baadhi ya mastaa waliozungumzia ishu hiyo: Staa katika tasnia ya filamu Bongo,Tamrina PoshiL
GPL
 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...