Joshua Kuney (kushoto) na mpambe wake,
Yona Lazaro,
wakimwagiwa maziwa na wazee wa kimila (Malaigwanan), kama ishara ya kusimikwa kuwa kiongozi wa kijamii,.
muda mfupi baada ya wananchi kumtawaza kuwa Mwenyekiti wa kijiji cha Kambi ya Chokaa badala ya Mbuki Mollel aliyepitishwa na CCM na kupita bila kupingiwakura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa
0 comments:
Post a Comment