Skip to content
Shauku ya kumsubiria mtoto atakayezaliwa na mpenzi wa staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnuz,Zari imekuwa kubwa sana kwa mastaa hao baada ya kupost picha ya watoto wawili wa k*** na wa kiume huku Zari akiandika A or B?
Kupitia account zao za Instagram waliweka picha picha hizo huku mashabiki wengi wakipigia kura picha A ikionyesha kuwa mtoto wao atakuwa wa k***.
Baadhi ya mashabiki waliopigia kura picha A kombaclara Bbbbbb 1h
0 comments:
Post a Comment