2015-01-02

Mkali Ajibu;Mengi Ametoa Fumbo Kali la kufungua Mwaka...Jibu Kama wewe ni Kichwa

Mengi Ametoa Fumbo Kali la kufungua Mwaka...Jibu Kama wewe ni Kichwa
Mwaka Mpya Umeanza kwa Vijembe kwa Mfanyabiashara Mengi , kwenye Ukurasa wake Ameandika Maneno ambayo kwa wengi ikiwemo na mimi ni kama Fumbo ,
 Kama wewe ni Kichwa na Mjuzi wa Mambo embu Tufumbulie hilo fumbo hapo chini ni nani anasemwa hapo ?

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...