2015-01-02

Ni hatari sana:Mengi Ametoa Fumbo Kali la kufungua Mwaka...kazi ni kwako


 
 
Mwaka Mpya Umeanza kwa Vijembe kwa Mfanyabiashara Mengi , kwenye Ukurasa wake Ameandika Maneno ambayo kwa wengi ikiwemo na mimi ni kama Fumbo , Kama wewe ni Kichwa na Mjuzi wa Mambo embu Tufumbulie hilo fumbo hapo chini ni nani anasemwa hapo ?
 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...