HUZUNI, vilio, majonzi vilitawala kwa wakazi wa Kiabakari na vitongoji vyake kufuatia Mwalimu Alfred Ghozi (26) (pichani) wa Shule ya Sekondari ya Kukirango iliyopo Kata ya Kukirango, Halmashauri ya Butiama mkoani Mara kukutwa amechinjwa kama kuku kwa kutumia panga, Uwazi lina mkasa wote.
Mama wa marehemu Alfred Ghozi (26) akihuzunika kumpoteza mwanaye.
Tukio hilo la kutisha lilijiri mwanzoni mwa mwezi huu, katika Kitongoji cha…
GPL
0 comments:
Post a Comment