2015-01-21

Ni shiiiiiiida!!!!!!!!!!! Wema afunguka kuwa huyu ndiye super star anaeishi nae kwa sasa kutoka South Afrika



Nimekuwekea hapa U Heard ya jana January 20, story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini, Ally Daxx 

Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote, Wemaamekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.
 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...