2015-02-06

HUZUNI TUPU JESHI LA POLISI ASKARI WA JWTZ AUWAWA NA WANANCHI- MBEYA


KUTOKA MBEYA:
Raia waua askari wa jwtz mbalizi mmoja na mwingine mahututi amekimbizwa hospital ya rufaa mbeya section mmoja ffu iko eneo la tukio.

Chanzo cha Mauaji na vurugu hizo ni wivu wa mapenzi askari katembea na mchumba wa raia.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...