2015-02-06

JB amtaja ‘’muuaji’ wa filamu za Kibongo ni hariiiiiiiiiiii......................



Mwigizaji Mkongwe wa filamu za Kibongo, Jacob Steven’JB’ amefunguka sababu ya mashabiki wa filamu hizo kushuka tofauti na zamani ni kwamba waandaji wa filamu wamekuwa wakitoa ovyo filamu hizo bila utaratibu maalum. 
Aidha amefunguka kuwa zamani filamu zilikuwa zikitoka chache hivyo mashabiki walikuwa na hamu ya kusubiria filamu itakayokuja.

‘’Unajua zamani filamu zilikuwa chache sana ndiyo maana kila shabiki alikuwa anaitafuta sana filamu ndiyo maana zilikuwa na thamani lakini sasa hivi filamu zimekuwa nyingi na mashabiki wahaijui waangalie ipi waache ipi.

Mwigizaji kwa sasa hivi amesema anataka kuifikisha kampuni yake ya Jelusalem Film katika anga za kimataifa kwa kuwashirikisha wasanii wa kimataifa kutoka Zambia na Zimbabwe. 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...