2015-03-26

ESTA KIAMA ANASWA BILA MAKE UP


“Huwa nanunua rangi ya midomo kwa shilingi 25,000. HUYU anaitwa Ester Kiama. Ni chipukizi kwenye tasnia ya maigizo Bongo akiwa amefanikiwa kutoa muvi zake mbili na kuwakonga mashabiki wake.
Ili kutoka na kuonekana ng’aring’ari, Ester anasema hutumia vipodozi vifuatavyo:

LOTION

Anatumia Revlon lakini wakati mwingine anasema hutumia mafuta ya nazi pekee au huchanganya na Revlon.



Muigizaji wa filamu Bongo, Ester Kiama.

KUCHA

Ester anasema anaweka kucha bandia kwa gharama ya shilingi 70,000. Kwa matumizi ya wiki mbili.

NYWELE

Msanii huyo ambaye yuko juu kwa sasa, hutumia shilingi 80, 000 kwa kusuka nywele zake saluni ambazo hudumu kutegemea na matakwa yake.



Ester Kiama akiwa kazini.

“Kama nasuka weaving huwa natumia shilingi 400, 000, lakini bei ya mwisho ya kawaida nasuka weaving kwa shilingi 150,000 kutegemea siku hiyo nina hali gani kifedha,” anasema Ester.

Poda anayopaka inaitwa Mary Kay. Ina foundation yake na make up ambayo inauzwa shilingi 75, 000.

RANGI YA MIDOMO

“Huwa nanunua rangi ya midomo kwa shilingi 25,000 ambayo hukaa kwa muda mrefu sana,” anaongeza.

KOPE “Siko nyuma sana kwenye kope, huwa natumia shilingi 20,000 kununulia nyusi. Kifupi mpaka naonekana nje ya saluni au chumbani kwangu huwa nimetumia urem

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...