2015-03-31

Marehemu Abdul Bonge Kuzikwa Leo Morogoro


Maziko ya aliyekuwa Muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Marehemu Abdu Bonge yanatarajia kufanyika leo Makuyuni Mkoani Morogoro, baada ya zoezi la uchunguzi wa mwili wa marehemu na shughuli za uagaji kukamilika jijini Dar. 
Marehemu Abdu Bonge amepoteza maisha usiku wa jumamosi baada ya kusukumwa na kuanguka alipokuwa akiamua ugomvi wa majirani zake

Tupia R.I.P kama ishara ya kumuaga mara ya mwisho.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...