Katika game ya Bongo Movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.ELIZABETH MICHAEL (LULU) ,5.IRENE UWOYA.
Orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.
By Iron Finger on JF
Na wewe kama mdau una nafasi ya kutuandikia chochote kinachohusu Bongo Movies na sisi tutakileta hapa.
Karibuni huu ni uwanja wenu wakufunguka kuhusu tasnia ya filamu hapa Bongo.
Vigezo na masharti huzingatiwa.
0 comments:
Post a Comment