2015-03-24

Wema, Milard Ayo mabalozi wa gari mpya.............ni sheeeeeeeeeeedah!!!!!!!!!!!!!!!!


MSANII wa filamu nchini, Wema Sepetu na Mtangazaji, Milard Ayo, wametangazwa kuwa mabalozi wa gari mpya aina ya Mitsubishi ASX.

Meneja mauzo wa Kampuni ya Diamond Motors, Reena Geratra, alisema mwonekano wa mastaa hao umewavutia kuwateua kuwa mabalozi wao wa kutangaza gari lao hilo linalotumia mafuta kidogo ambalo litahimili foleni za barabarani.

Baada ya kutangazwa hivyo, Wema alifurahishwa na uteuzi huo huku akiahidi kuwa balozi mwema na wa mfano.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...