2015-03-31

Sad Newzzzzzzzzz:-Majambazi yavamia kituo cha Polisi na kuuwa Askari wawili Kongowe


Habari zilizotufikia hivi punde:
MAJAMBAZI YAVAMIA KIZUIZI CHA POLISI ENEO LA KONGOWE MBAGARA DAR ES SALAAM NA KUUA ASKARI WAWILI MUDA HUU NA KUPORA BUNDUKI SMG MBILI NA KISHA KUVAMIA SHERI YA MAFUTA YA LIKE OIL KISHA KUTOKOMEA KATIKA MSITU WA VIKINDU MKURANGA ..... Habari na picha zaidi tutawaletea hivi punde..! 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...