Katibu
Mkuu wizara ya Usafirishaji, Shaaban Mwinjaka, (Kushoto), akipokelewa na
Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Kipallo Amani Kisamfu, wakati akiwasili
bandarini jijini Dar es Salaam, leo Jumatano Nov 19, 2014, kupokea
mabehewa 50 ya kubeba makontena.
Moja kati
ya mabehewa 50 ya kubebea makasha, likishushwa kutoka kwenye meli,
bandarini jijini Dar es Salaam leo Jumatano Nov 19, 2014. Mabehewa hayo
yataongeza utoaji huduma wa Kampuni ya reli Tanzania (TRL), kutoka
kutoa huduma za usafirishaji mizigo chini ya mpango wa matokeo makubwa
sasa (BRN), alisema Katibu Mkuu wizara ya usafirishaji Shaaban Mwinjaka,
wakati akipokea mabehewa hayo kutoka India
Katibu
Mkuu wizara ya Usafirishaji, Shaaban Mwinjaka, (Kulia), akikagua behewa
moja kati ya 50 ya kampuni ya reli Tanzania (TRL), yalipowasili jana. .
Mabehewa hayo yataongeza utoaji huduma wa Kampuni ya reli Tanzania,
(TRL), kutoka kutoa huduma za usafirishaji mizigo chini ya mpango wa
matokeo makubwa sasa (BRN), alisema katibu mkuu wizara ya usafirishaji
Shaaban Mwinjaka, wakati akipokea mabehewa hayo kutoka India
Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Kipallo Amani Kisamfu, akitoa hotuba fupi
Katibu Mkuu, wizara ya Usafirishaji, Shaaban Mwinjaka, akitoa hotuba yake
Alama zinazoonyesha tarehe mabehewa hayo yalipakiwa kutoka India kuja Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment